Facebook Giving out Cashouts - Utapeli
Wadau, hao matapeli hawachoki! Facebook hawatoi hela! Msikubali kutapeliwa!**************************************** Facebook Corporate Office & HeadquartersINTERNATIONAL PROMOTIONS/PRIZE...
View ArticleStar wa Bongoland 'Mukama Morandi' Afunga Pingu za Maisha!
Stelingi (Star) wa sinema Bongoland, Mukama 'Jimmy' Morandi, amefunga ndoa mjini Minneapolis, Minnesota, jana na mpenzi wake Priscilla. Mukama ni mcheza sinema na mwanamuziki pia.Tunawatakia maisha...
View ArticleProf. Henry Kadete Thirty Year Wedding Anniversary!
It was 30 years ago tomorrow 8/24/85, that I said "I Do" to Prof. Henry Kadete, (pronounced KAH-DEH-TEH) in Dar es Salaam, Tanzania at St. Alban's Anglican Church. It was the wedding of the year in...
View ArticleSauti za Busara 2016 is Cancelled
Sauti za Busara 2016 is Cancelled Due to shortage of funds, Busara Promotions reluctantly announces Sauti za Busara 2016 is cancelled. Yusuf Mahmoud, CEO of Busara Promotions, said today “This decision...
View ArticleAnguko la Upinzani Nchini Na Hadithi ya Bora Shetani Nimjuaye Kuliko Malaika...
Edward Lowassa, Anguko la Upinzani Nchini Na Hadithi ya Bora Shetani Nimjuaye Kuliko Malaika Nisiyemjua!Na Dkt. Hamisi KigwangallaRaia Mwema. Agosti 26, 2015.Nimekuwa na siku nyingi kidogo sijaandika....
View ArticleSheria Mpya ya Mtandao Mwisho Chumbe?
Logo ya Zanzibar Diaspora Association (ZADIA)Na Muandishi wetu swahilivilla BlogWanadiaspora wameelezea wasiwasi wao kuwa sheria mpya ya Makosa Ya Mtandao iliyoanza kufanya kazi tarehe mosi mwezi huu...
View ArticleRais Kikwete Awapa Pole Majeruhi wa Msongamano
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro Dkt. Ritha Lyamuya alipokwenda kuwapa pole majeruhi walioumia katika msongamano mkubwa uliotokea...
View ArticleWanajeshi Waliokamtwa na Al-Shabab ni wazembe - Museveni
Rais Yoweri Museveni wa Uganda yuko safarini Japan. Anasema kuwa wanajeshi wake walikuwa wamelala Al Shababa walipovamia kambia yao huko Janale!*************************************TOKYO (AP) - The...
View ArticleTyler Perry Asaidia Watoto Albino Kutoka Tanzania Walioko Marekani Kwa Ajili...
Heko kwa msanii maarufu Tyler Perry kwa kusaidia watoto albino kutoka Tanzania, ambao wanapata matibabu kwa ajili ya majeraha waliopata kutokana na kukatwa vingo vyao. Watoto hao albino wako nchini...
View ArticleMzee Godfrey Mngodo Afariki Dunia
Wadau, nimepokea kwa huzuni habari ya kifo cha Mzee Godfrey Mngodo, aliyewahi kuwa mtangazaji Voice of America na Radio Tanzania. Mzee Mngodo alikuwa rafiki wa marehemu baba yangu, Dr. Aleck...
View ArticleGharika ya Watu yashuhudia Uzinduzi Rasmi wa Kampeni za CCM
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja kwa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar...
View ArticleUnited States Welcomes Mozambique Announcement on Landmine Clearance
Land Mine Warning in MozambiqueToo many have been maimed and killed by landmines in Mozambique. Why were they put there. I am posting this as a Thank You for the efforts to clear Mozambique of...
View ArticleNafasi ya Kazi Shinyanga - LIbrarian
Earth Sciences Institute of Shinyanga (ESIS) is a Private Technical Institute licensed by the National Council for Technical Education of Tanzania (NACTE) with Reg. No REG/EOS/041 to offer Exploration...
View ArticleMKenya Agundua Tiba ya COPD - Ugonjwa wa Kupumua Kwa Shida
AJABU AFRICA wametoa taarifa kuwa Mkenya amegundua Tiba ya Uginjwa wa Kupumua kwa Shida (COPD). Dr. George Kiongera ni Mkenya kwa kwanza kuwa na shahada la Ph.d katika uuguzi (Nursing). Alifanya...
View ArticleRaha ya Mitumba!
Hapa Marekani watu wanatupa nguo zao waszoiotaka kwenye mapipa ya Goodwill, Salvation Army, St. Vincent De Paul, Planet Earth etc. Mtu akifa familia inatoa nguo zake kwenye mashirika hayo. Nguo...
View ArticleMke Atalakiwa baada ya kuondoa Make-Up Usoni. Kumbe ana sura mbaya!
Yaani nimecheka. Jamaa kaoa mwanamke huko Arabuni kwa sababu ya uzuri wake. Kumbe alikuwa ana paka make-up kibao na kupachika nyusi bandia! Jamaa alifunga ndoa na mrembo wake. Asubuhi baada ya harusi...
View Article