Yaani nimecheka. Jamaa kaoa mwanamke huko Arabuni kwa sababu ya uzuri wake. Kumbe alikuwa ana paka make-up kibao na kupachika nyusi bandia! Jamaa alifunga ndoa na mrembo wake. Asubuhi baada ya harusi waliyoamka alishngaa huyo mwanamke ni nani.Kumbe ni mke wake bila make up. DUHHHHH! Danganya toto kweli kweli! Lakini huyo mwanamke siyo mbaya, na jamaa mshamba hajui kazi ya make-up.
↧