Historia Fupi ya Marehemu Captain Komba!
Mbunge wa Mbinga na Msanii maarufu, Captain John Komba, alifariki dunia leo katika hospitali ya TMJ mjini Dar es Salaam, kutokana na athari za ugonjwa wa kisukari. Mwenyezi mungu ailaze roho yake...
View ArticleTeam Michuzi Production Yarekodi Kwa Weledi wa Hali ya Juu Mnuso wa Tanzania...
Ankal akiwa na MD wa Michuzi Media Group (kulia kwake) pamoja na kikosi kazi cha Team Michuzi Production chini ya Production Manager Barbra Kilugira (wa tatu kushoto) ambayo ilipata heshima ya kurekodi...
View ArticleCaptain John Komba Obituary
Kutoka Daily News Mbinga West MP Komba is No MorePublished on Sunday, 01 March 2015By DEOGRATIAS MUSHI The late Captain John Komba Mbinga West Member of Parliament and Member of the ruling Chama Cha...
View ArticleRais Kikwete Akutana na Uongozi wa Chama cha Albino
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na viongozi wa Chama Cha Albino Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo. Walioketi kushoto ni Waziri wa Sheria na Katiba Dkt Asha Rose Migiro, Waziri wa Mambo ya...
View ArticleAlbino wazusha vurugu Ikulu ya Dar es Salaam Magogoni
Vurugu zilizofanywa na baadhi ya walemavu wa ngozi Albino katika Ikulu ya Tanzania zimesababisha kuahirishwa kwa kikao kati ya viongozi wao na Rais Jakaya Kikwete.Rais Kikwete alikuwa akitarajiwa...
View ArticleWaganga wa Kienyeji 32 wakamatwa Tanzania - Mauaji ya Albino
Siku ya Alhamisi ,watu wanne walihukumiwa kifo kwa mauaji ya mwanamke albino mwaka wa 2008 katika jimbo hilo.Serikali iliwapiga marufuku waganga wa kienyeji mwezi Januari kama mojawapo ya kampeni ya...
View ArticleMuswada Binafsi wa Baraza la Vijana la Taifa Kujadiliwa Bungeni
Mh. John MnyikaMUSWADA BINAFSI WA BARAZA LA VIJANA LA TAIFA KUJADILIWA BUNGENI TAREHE 31 MACHI 2015Nashukuru wote ambao mmekuwa mkifuatilia hatma ya muswada binafsi wa Baraza la Vijana la Taifa...
View ArticleAsiimilia 40 ya Wanwake Zanzibar Wanaishi Maisha Duni
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi (aliyefunikwa mwamvuli) akiwasili kwenye sherehe ya siku ya wanawake duniani iliyoandaliwa na Zanzibalicious Women Group na kufanyika...
View ArticleAfariiki Baada ya Kuchomwa Sindano ya Kuongeza Saizi ya Matako
Wadau, huko Texas mwanamke Mmarekani mweusi amepoteza maisha yake kwa kupenda kuchoma sindano za kuongeza saizi ya makalio. Huyo dada alichoma sindano kadhaa na kweli matako yake yaliongezeka. Lakini...
View ArticleWatanzania - Wakimbizi Ulaya!
Malazi ya Wakimbizi huko UjerumaniNimepata kwa E-Mail: Hivi karibuni nilikuwa safarini Nchini Ujerumani. Na moja ya mambo niliyoyakuta ni kwamba siku hizi nchini humo kumefunguliwa makambi sehemu...
View ArticleTanzia - Dr. Aleck H. Che-Mponda, Baba yangu mzazi
Wadau, ninasikitika kutangaza kifo cha Baba yangu mzazi, Dr. Aleck H. Che-Mponda, kilichotokea katika hospitali ya Massana mjini Dar es Salaam, jana jioni (March 30, 2015). Mipango ya mazishi...
View ArticleUnaweza Kutoa RambiRambi Kwa Familia ya Che-Mponda Kupitia GoFundME
Mnaweza kutoa Rambirambi kwenye GoFundMe. Hii ni linki.You can contribute towards Dr. Aleck Che-Mponda's funeral expenses on GoFundMe. The link is...
View ArticleMemorial Service for Dr. Aleck H. Che-Mponda - Sunday April 26, 2015 in...
There will be a Memorial Service for my father, this Sunday at our Church in Chelsea. Please see below:This is a friendly reminder about a memorial service for Dr. Aleck Che-Mponda . Service will be...
View ArticleAsanteni Wadau - Msiba wa Dr. Aleck H. Che-Mponda (1935-2015)
Wadau, asanteni sana kwa salamu za pole, rambirambi, simu, sms nk. Baba amezikwa kijijini kwao, Ilela, Manda, Tanzania siku ya jumatano tarehe 8, Apriil 2015. Aliugua ugonjwa wa Saratani (Prostate...
View ArticleSherehe za Madhimisho ya Wakunga Duniani Tanzania
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya uuguzi mkoani Mara wakijiaanda kuanza maandamano kutoka Hospitali Hospitali ya Rufaa mkoa wa Mara wakati wa sherehe za maadhimisho ya siku ya Wakunga Duniani ambapo...
View ArticleHappy Birthday Mohamed Dewji
MODEWJI BLOG TEAM:Thanking you for being a great boss just isn't enough for your special day! Thank you for inspiring us to be our best! Happy birthday, boss!And below is a small gift from us! Please...
View ArticleHabari ya Tsumani Tanzania Si ya Kweli
Simu: 255 22 2460735/2460706FAKSI: 255 22 2460735/2460700 S.L.P. 3056Barua pepe: met@meteo.go.tz DAR ES SALAAMTovuti: www.meteo.go.tzUnapojibu tafadhali nakili:Kumb. Na.: TMA/1622 08 Mei, 2015TAARIFA...
View Article