Rais Mstaafu George H.W. Bush ni Mzima!
Wadau, siku Rais Donald Trump anaapishwa tulidhani kuwa Rais Mstaafu George H. W. Bush, yuko mahututi atakufa dakika yoyote. Mke wa Barbara naye alikuwa hoi hospitalini. Ajabu juzi tuliwaona kwenye...
View ArticleKinana Akutana na Waziri Mkuu Majaliwa Leo
KINANA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI MKUU MAJALIWA,LEO LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpokea Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, alipowasili katika Ofisi Ndogo...
View ArticleMbunge Ritta Kabati Kusaidia Ujenzi wa Ofisi Tatu za CCCM Manispaa ya Iringa
MBUNGE wa viti maalumu Mkoa wa Iringa Ritta Kabati kupitia chama cha mapinduzi (CCM) akimkabidhi mifuko ya saruji kwa ajiri ya ujenzi wa jengo la ofisi ya chama katika kata ya Ruaha kwa mwenyekiti wa...
View ArticleWachawi Wamloga Rais Trump wa Marekani!
Usiku wa kuamkia leo, Wachawi duniani waliungana kumloga Rais Donald J, Trump wa Marekani. Nia yao ilikuwa wamfanyie dawa asiweze kumwumiza mtu. Tutaona kama walikuwa na mafaniko.Asante Rais Trump,...
View ArticleLiberian Civil War Atrocities
Murder Victims in Liberia Civil War MONROVIA, Liberia (AP) - The skeletal remains of 27 people were all that was left of a massacre, one of many in this West African nation's back-to-back civil wars...
View ArticleKamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Utallii Yatembela Eneo lenye...
Msafara wa Magari ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi,Malisili na Utaalii,yakpita katika maeneo mbalimbali ya Pori Tengefu la Loliono kwa ajili ya kujionea hai halisi ya mgogoro ulioo katika eneo...
View ArticleDk. Ryoba Awaona Waanidshi wa Habari wa Uhuru Leo
DK. AYUB RIOBA AWANOA KWA SEMINA YA WELEDI WAANDISHI WA HABARI WA GAZETI LA UHURU, JIJINI DAR ES SALAAM, LEO Mwandishi wa habari nguli wa siku nyingi,Dk. Ayub Ryoba, akiendesha semina ya kunoa weledi...
View ArticleMbinu Hizi zitakusaidi Kukabiliana na Mvua Jijini Dar es Salaam
Na Jumia Travel TanzaniaHivi kuna mkazi yeyote wa jiji la Dar es Salaam ambaye ni mgeni wa adha zitokanazo na mvua zinazonyesha? Sidhani kama kuna mtu yeyote hafahamu ya kwamba mvua ikinyesha kutakuwa...
View ArticleComfort Zone - A Poem by Prof Richard Mabala
FROM FACEBOOKComfort ZoneBy Richard Mabala First they came for the big guysThey were all fisadisBut I am not a fisadi so why should I speak out?Even if no evidence has been given against themWe were...
View ArticleUzinduzi wa WASATU - Northampton, Uingereza
PICHA ZA HABARI : UZINDUZI WA WASATU NORTHAMPTON , UINGEREZANa Freddy Macha Jumuiya ya wasanii Watanzania Uingereza (WASATU) ilizunduliwa kwa vigelegele na muziki mjini Northampton , katikati ya...
View ArticleKuwanasa Wauji wa Albino, Mbinu za Kivita Zinatumika!
Mwandishi wa makala haya na mmiliki wa blogu ya MaendeleoVijijini, Bw. Daniel Mbega (mwenye jezi nyekundu) akiwa sambamba na wanausalama katika tukio la kukatwa kiganja mtoto Baraka Cosmas Songoloka....
View ArticleKenyan Doctor Discovers Hepatitis C Treatment
AJABU LIVE VIDEO INTERVIEW: How Kenya’s Dr. Njoroge Discovered HEP C Treatment Drug(AJABU AFRICA NEWS, APRIL 27, 2017) BOSTON--By leading a team that discovered Victrelis, the first ever effective...
View ArticleBuriani Mwanahabari Revocatus Bulizya
Marehemu Revocatus Bulizya enzi za uhai wakeWaombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mwanahabari Revocatus Bulizya wakati ukiingizwa katika Kanisa la Katoliki Hospitali ya Taifa ya Muhimbili...
View ArticleTanzia - Mh, Said Thabith Mwambungu
The late Regional Commissioner Said Thabith Mwambungu Kutoka kwa mwandishi mahili Nickson Mkilanya KWAHERI YA KUONANA RC SAID THABITH MWAMBUNGU Amefariki leo katika hospitali ya taifa ya...
View Article