Quantcast
Channel: Swahili Time
Browsing all 571 articles
Browse latest View live

ZILIPENDWA - Prince Nico Mbarga Sweet Mother

HUU WIMBO ULIPIGWA SANA TANZANIA KWENYE RADIO TANZANIA MIAKA YA 1970's!

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chemi Katika Sinema, HIstoria ya Khanga 1994

Mwaka 1994, TAMWA, walitengeneza sinema kuhusu Historia ya Khanga. Mimi nilikuwa mmoja wa waigizaji pamoja na Issa Michuzi.  Mnaweza kuona Clip yote YOU TUBE: CHEMI & MICHUZI IN HISTORY OF KHANGA

View Article


Ibada ya Kiswahili Ottawa - Ottawa Swahili Fellowship

Wadau, Pastor Edith Mwita, wa Ottawa, Canada anafurahi kuwatangazia kuwa kutakuwa na Ibada ya Kiswahili jumapili hii Oktoba 26th, kuanzia saa 11 hadi saa 1 jioni (5:00pm to 7:00pm) mjini Ottawa.Anwani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Barua za Kitapeli

Yaani matapeli hawachoki! Shenzi Zao!********************************************* Hello Dear,My name is Beatrice Solin, 24yrs old girl. I am a female journalist and a model. Please am presently lying...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mh. Shy-Rose Bhanji Ajibu Shutuma Dhidi Yake

Mh. Shy-Rose BhanjiMimi Shy-Rose Bhanji, Mbunge wa Afrika Mashariki-Tanzania, ninapinga vikali na kwa nguvu zote shutuma zilizotolewa dhidi yangu kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii.Shutuma hizi...

View Article


Mzee Richard Mabala Amefiwa na Mke Wake

Kutoka FacebookMke wangu mpenzi, Etinisimbo (Manka) amefariki dunia leo baada ya kuugua muda mrefu. Mungu amempumzisha maana magonjwa yalikuwa yanamtesa sana. Naomba sala zenu.My beloved wide...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jaji Warioba Anusurika Kupigwa Kwenye Mkutano!

BBC SwahiliNchini Tanzania vurugu zimekatisha mdahalo ulioitishwa kujadili yatokanayo na rasimu ya katiba iliyopendekezwa. Waziri Mkuu mstaafu na aliyekuwa mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Usikate Tamaa

Nilibakwa nikiwa na Umri wa Miaka 9" - Oprah Winfrey"Sikumaliza hata Elimu yangu ya Chuo" - Bill Gates"Kwenye Maisha ya Utotoni, Nilidhurumu Viatu"– Abraham Lincoln"Nilipata sana shida katika kipindi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Basi la Happy Nation yapata Ajali Mbeya!

 Natoa pole kwa waliojeruhwa!****************************************************Basi lenye namba T281 ARR mali ya Happy Nation likiwa limepinduka eneo la Meta Igurusi kilometa 54 kutoka MbeyaPicha na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete Afanyiwa Upasuaji Marekani!

Tumwombee uzima Rais wetu Mpendwa, Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. Amen, Amin.****************************Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Dkt. JakayaMrisho Kikwete akizungumza na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete Anaendelea Vizuri Baada ya Upasuaji John Hopkins Hospital (USA)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi wa Tanzania nchiniMarekani Mhe Liberata Mulamula aliyekwenda kumjulia hali katikahospitali ya John Hopkins iliyopo Baltimore, Maryland, nchiniMarekani, leo...

View Article

Rais Kikwete Aruhusiwa Kutoka Hospitalini!

 Kutoka  AllAfrica.comPresident Jakaya Kikwete has been discharged from the Johns Hopkins Hospital in the United States on Wednesday evening after a successful prostate gland surgery and moved to a...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete Atoka Hospitalini Baada ya Kupata Nafuu

 PICHA NA HABARI KUTOKA IKULU:Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete  akisindikizwa na Daktari BingwaEdward Schaeffer kutoka Hospitali ya Johns Hopkins alipokuwa amelazwa baada ya kufanyiwaupasuaji wa kuondoa...

View Article


Maoni ya Prof. Joseph Mbele Kuhusu Kunyayaswa kwa Jaji Warioba

 Kutoka  Hapa Kwetu  Blog  Kuhusu Kunyanyaswa kwa Jaji WariobaKati ya mambo yaliyonishtua sana mwaka huu ni kunyanyaswa kwa Jaji Warioba. Kadhia hii imetokana na kazi murua aliyofanya Jaji Warioba na...

View Article

Mchawi Atubu, Aomba Msamaha! (Samahani Yuko Uchi)

Huyo mchawi alikamatwa aliloga. Wachawi wakitambika wanakuaga uchi, ndo mana huyo mchawi yuko uchi!  Akome kabisa kuloga watu! Naona aliogopa kipigo cha kufa huyo! Mwone na shanga zake! Wangemtoa kabisa!

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jaji Mkuu Amjulia Hali Rais Kikwete Marekani

 Picha na habari kutoka Ikulu.   Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Jaji Mkuu wa Tanzania MheMohamed Chande Othman aliyemtembelea na kumjulia hali Jumapili Novemba16, 2014 katika hoteli maalumu...

View Article

Amsulubu Aliyemwibia Mume Wake!

Wadau, hii kali! Wanawake wote wangesulubu wanaowaibia wanaume wao hivyo, wizi huo ungepungua sana!

View Article


Al Shsabab Waua Abiria wa Basi wasio WaIslam Kenya

 Jamani, jamani! Tunaelekea wapi? Hizi chuki za kidini ziishe!  Siyo utamaduni ya Afrika Mashariki.Mungu ailaze roho zao mahala pema mbinguni. Amen.****************************************Police:...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania Imeibiwa Tanzanite

Kutoka THE CITIZENJamani, serikali iko wapi? Tunaibiwa madini, wengine wanafaidi. Hiyo hela ingesaidia kukarabati hospitali, shule etc.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete Awasili Dar es Salaam, Apata Mapokezi Makubwa!

PICHA NA IKULURais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mmoja wa abiria wakatindege aliyopanda ilipotua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa waMwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea...

View Article
Browsing all 571 articles
Browse latest View live