Quantcast
Channel: Swahili Time
Browsing all 571 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mh. Pinda Atembelea Makao Makuu ya CCM, Lumumba

 Wazuri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi alipotembelea Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, jana.  Kushoto ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FIlamu na Tamthilia za Kitanzania Zazinduliwa Jijini Dar es Salaam -...

Mwenyekiti wa Bodi ya DSTV, Balozi Ali Mpungwe akizungumza wakati wa uzinduzi wa Filamu na Tamthilia za Kitanzania zitakazorushwa na DSTV kupitia Chaneli yao kuanzia Maisha Magic Bongo Ukumbi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shamba la Miti Lunguza Wazipiga Jeki Shule ya Msingi Muheza Wakabidhi...

SHAMBA LA MITI LUNGUZA WAZIPIGA JEKI SHULE ZA MSINGI MUHEZA WAKABIDHI MADAWATI 200.Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo kulia akipokea madawati 200 kutoka kwa Meneja wa Shamba la Miti...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzia - Mh. Mzee Samuel John Sitta

View Article

Article 0

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Miss Tanzania 2010, Genevieve Mpangala Kusaidia Kurejesha Heshima ya Elimu...

Mrembo wa taji la Miss Tanzania 2010 Genevieve Mpangala amejitosa kusaidia kurejesha heshima ya mkoa wa Tabora katika elimu hasa kwa wasichana ambao ndio nguzo kubwa kwa familia na maendeleo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wimbo Mpya wa Kabago Akiwa na Harmad Tanzania Watoka Rasmi

Mkongwe wa Hip Hop nchini Kabago ameachia rasmi hii leo wimbo wake uitwao Tanzania akiwa na mkongwe mwenzake Hardmad, wimbo unaitwa Tanzania. Kupitia BMG sikiliza wimbo huo maana ni wimbo bora.Bonyeza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wananchi Wajeruhiwa Katika Ajali Iliyohusisha Magari Manne Kongowe Temeke...

div class="separator" style="clear: both; text-align: center;"> Wananchi wakiangalia ajali iliyohusisha magari manne na pikipiki iliyotokea daraja la Mzinga Kongowe, Temeke jijini Dar es Salaam leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kumbukumbu - Mh. Samuel Sitta Alipokutana na WaTanzania Cambridge, MA Mwaka 2014

Mh. Samuel Sitta akiwa nyumbani kwangu Cambridge, MA, USASiku ya jumamosi, 6/15/14 jioni, Mheshimiwa Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba na Waziri wa Afrika Mashariki​​, Mheshimiwa Samweli Sitta...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mazishi ya Marehemu Mzee Richard Binagi Yafanyika Jijini Dar es Salaam

Mazishi ya Mzee Richard Binagi (88) aliyefariki dunia Jumanne Novemba 08,2016 Jijini Dar es salaam baada ya kuugua, yamefanyika jana Jumamosi Novemba 12,2016 nyumbani kwake Kipunguni Jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mafunzo Kwa Wasanii wa Filamu Mkoani Mwanza Yazaa Matunda

Kulia ni Mohamed Nyengi ambaye pia ni Afisa Uendeshaji na Masoko kutoka Shirika la Pensheni la PPF Kanda ya Ziwa, akifuatilia semina hiyo iliyoandaliwa na Bodi ya Filamu nchini kwa ajili ya wasanii wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais Kuzindua Kampeni ya Uchunguzi wa Bure wa Saratani ya Matiti

Rais wa Chama cha Madaktari Wanawake Tanzania (MEWATA), Dkt.Serafina Mkuwa (kulia), akitoa taarifa kwa wanahabari kuhusu uzinduzi wa kampeni ya uchunguzi na matibabu ya Saratani ya Matiti na mlango wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rest in Peace Sharon Jones

The Late Singer Sharon Jones 1956-2016   NEW YORK (AP) - Sharon Jones, the stout powerhouse who shepherded a soul revival despite not finding stardom until middle age, has died. She was 60.   Jones'...

View Article


ZILIPENDWA - Maxi Priest - Close To You (1990)

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Aliyekuwa Rais wa Cuba , Fidel Castro Afariki Dunia

Rais Castro na Mwalimu Julius Nyerere mwaka 1977Aliyekuwa Rais wa Cuba, Fidel Castro, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 90.  Castro alifariki usiku wa kuamkia leo.  Mdogo wake, Rais Raoul Castro...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Katibu Mkuu Mpya wa CCM Akagua Mali za Chama Dodoma

MPOGOLO AKAGUA MALI ZA CHAMA LEO MJINI DODOMA, LUHWAVI AMKABIDHI KILA KITU HADI MSAIDIZI  Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akimpa maelezo Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Tawala Moani Mara Ahitimisha Mafunzo kwa Wadau wa Filamu Mkoani Humo

Katibu Tawala mkoa wa Mara, Adoh Mapunda (katikati) akizungumza hii leo kwenye kilele cha mafunzo ya siku tatu kwa wadau wa filamu mkoani humo. Mafunzo hayo yalianza juzi Disemba 14,2016 kwenye ukumbi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mfuko wa PPF Wadhamiria Kuwafikia WaTanzania Wote Wakiwemo Wasnatasnia wa Filamu

Meneja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Meshack Bandawe, akizungumza kwenye mafunzo ya siku tatu kwa wadau wa filamu na michezo ya kuigiza mkoani Mara. Mafunzo hayo yalanza Disemba 14 na yanafikia tamati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kongamano la Kumuenzi Fidel Castro

Nilibahatika kuhudhuria japo kwa muda mfupi Kongamano ya Kumuenzi Marahemu Rais Fidel Castor wa Cuba, iliyofanyika mjini Dar es Salaam, Tanzania, jumapili iliyopita December 11, 2016 kwenye hall ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Namna na Kuepuka Matumizi Makubwa ya Fedha Kiindi cha Sikukuu

Na Jumia Travel TanzaniaKwa kawaida kipindi cha sikukuu ni wakati ambao watu wengi huwa na matumizi makubwa ya fedha kwa ajili ya kusherehekea pamoja na wapendwa wao, famila, jamaa na marafiki.Jumia...

View Article
Browsing all 571 articles
Browse latest View live