Quantcast
Channel: Swahili Time
Browsing all 571 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maandazi ya Chakula Kutoka Mazingara Machafu!

Mnaopenda Kula restaurants, na chakula cha caterers..halahala! Hizo kuku ziliingia kwenye michuzi, supu, roast, nk.  Halafu unashangaa Kwa nini tumbo inauma na unaharisha kesho yake.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania Kutumia Dola Mil 500 Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia Nchini

TANZANIA KUTUMIA DOLA MIL500 KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIA NCHI Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira,January Makamba  akifungua warsha ya wadau wa kuhusu ripoti ya taarufa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwenyekiti Mpya wa CCM Dr. John Pombe Magufuli Apokelewa kwa Nderemo na Vifijo

Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipungia wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa J.K. Nyerere, Jijini Dar es salaam kabla...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Paka Kichaa au Mjanja?

Huyo paka ni mjanja au kichaa? Anakubali kunyonyesha panya ambao ni chakula kikuu cha paka. Au anawanyonyesha ili wanone apate mlo safi?

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzia - Mh. Mzee Aboud Jumbe

Rest in peace Mh. Mzee Aboud Jumbe. (1920 - 2016)

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki ya Dunia Kuendelea Kusaidia Sekta ya Maji Nchini

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Gerson Lwenge akifungua  kikao cha pamoja na ujumbe wa Benki ya dunia, Wizara ya Maji ,Shirika la Majisafi na Majitaka jijini Dar es Salaam (Dawasco ) na Mamlaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mashindano ya Miss Mwanza 2016

Usiku wa jana Ijumaa Agost 19,2016 kuamkia leo Jumamosi Agost 20,2016, kulikuwa na mtifuano mkali wa kumtafuta mlimbwende wa taji la MISS MWANZA 2016 ambapo warembo 16 kutoka wilaya mbalimbali mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mama Bishanga Ndani ya White Party ya Birthday ya Rukia Hussein

Kwa Hisani ya Christina Marolen aka Mama Bishanga            MAMA BISHANGA NDANI YA WHITE PARTY YA BIRTHDAY YA RUKIA HUSSEINRukia mtoto wa marehemu Sheihk Yahya Hussein aliangusha bonge ya white party...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kanisa la EAGT Lumala Mpya jijini Mwanza Kufanya Harambee ya Kanisa Jipya la...

Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza, chini ya Mchungaji kiongozi, Dkt.Daniel Moses Kulola, linapenda kuwakaribisha watu wote kwenye Harambee ya Ujenzi wa Kanisa jipya na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ni Heshima Ukichinjiwa Mbuzi wa Supu Mkoani Mara

Kuna Sherehe za aina mbalimbali mkoani Mara. Leo BMG inakujuza juu ya Shereze ya kuchinjiwa supu ya mbuzi. Hii hufanywa zaidi kwa wanajamii wa kabila la Wakurya mkoani humo.Sherehe hizi hazina msimu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mama Bishanga na Wadogo Zake Wafiwa na Mama Yao

MAMA BISHANGA NA WADOGO ZAKE WAFIWA NA MAMA YAO         MWALIMU AGNES NDEMBO HATIAWatoto wa marehemu mzee Isaya Innocent Hatia tumempoteza mpendwa mama yetu mpendwa Mwalimu Agnes Ndembo Hatia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkuu wa Mkoa Mwanza Akabidhi Vyakyula Kwa Niaba ya Rais Magufuli Kwenye Kituo...

To kmwantepele Dotto Mwaibale Mzee Ahmad Michuzi Cathbert Kajuna and 232 more... Message body Katika kusherehekea Sikukuu ya Idd El Hajj siku ya Jumatatu Septemba 12, 2016, Rais wa Jamuhuri ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNESCO Yazindua Ripoti ya Ufuatliaji wa Elimu Duniani (GEM) 2016

 Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Bi. Zulmira Rodriguez akimkabidhi mgeni rasmi, Kaimu Kamishna wa Elimu kutoka Wizara ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tetemeko la Ardhi Bukoba - Earthquake in Bukoba, Musoma and Mwanza Tanzania

Nimepata ujumbe kupitia Facebook muda huo kuwa kumetokea tetemeka la Ardhi kubwa (Earthquake) Bukoba!!!! Nitawajulisha nikipata habari zaidi!***********************************Tetemeko la Ardhi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msiba Boston - Mrs. Aisha.Rupia

                                            Aisha Rupia, mume wake Paul Rupia na watoto wao.Tunasikitika kuwajulisha kuwa Paul Rupia amefiwa na mke wake Aisha Rupia ambaye ametutoka leo alfajiri...

View Article


Usabato na Historia ya Aibu

HISTORIA HALISI YA WASABATO: AIBU TUPUImeandikwa na Padri Titus AmiguNdugu zanguni nitaendelea na mada yetu ya “viboko hamsa wa ishirini” lakini naomba nikatishe kidogo nipate kujibu swali moja...

View Article

Matokeo ya Tanzania Kukataa EPA

byEzekiel KamwagainMakalaKAMA mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi baina ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na zile za Umoja wa Ulaya (EU) utaendelea kubaki kama ulivyo sasa, ni wazi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwenge wa Uhuru Wawasili Mkoani Singida na Ishara ya Uhuru wa Tanganyika

MWENGE wa Uhuru baada ya kuwasili mkoani Singida Mwenge huu ni ni kitu mfano wa kikombe chenye mpini mrefu na utambi ambacho aghalabu huwasha na kukimbizwa katika kusheherekea au kutukuza tukio...

View Article

Madereva wa Malori Watekwa Nyara huko Congo!

   DAR ES SALAAM, Tanzania (AP) - Tanzania's government and a transport group say an armed group operating in eastern Congo has seized six Tanzanian and four Kenyan truck drivers and is seeking ransom....

View Article

Sala ya Kumuaga Marehemu Aisha Rupia Boston Leo

Sala ya kumuaga marehemu Aisha Rupia (39) itakuwa leo jumamosi 9/17/16 saa kumi jioni (4:00pm) huko Hurley Funeral Home, 134 Main St., Randolph, MA 02368.Baada ya Sala, watu watajumika  kwenye Ukumbi...

View Article
Browsing all 571 articles
Browse latest View live