$ 0 0 Huyo paka ni mjanja au kichaa? Anakubali kunyonyesha panya ambao ni chakula kikuu cha paka. Au anawanyonyesha ili wanone apate mlo safi?