Quantcast
Channel: Swahili Time
Browsing all 571 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzia - Dr. MweleNtuli Malecela

 Dr.  Mwele Ntuli Malecela  1963-2022Nimepokea kwa huzuni na masikitiko habari ya kifo cha dada yangu wa Ubatizo Dr. Mwele Ntuli Malecela.  Amefariki Geneva, Switzerland jana.  Alikuwa na sumbuliwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAHIHISHO - CORRECTION Pichani siyo Mh. Anna Makinda

 Kuna mtu ameposti hii picha mtandaoni akidai aliyesimama ni Mh. Spika Mstaafu wa Bunge la Tanzania, Mrs. Anna Makinda. Si kweli, aliyesimama ni Mama yangu mzazi Mrs. Rita Che-Mponda.  Picha ilipigwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzia - Professor Samahani Kejeri

Mwanahistoria na Mtembeza Watalii maarufu, "Professor" Samahani Kejeri, amefariki dunia, leo Februari 13, 2022, katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Alikuwa amelazwa kwa ajili ya matibabu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Agnes Trip Killing Brings Awareness to Domestic Violence and Sexual Abuse in...

                      AGNES TIROP 1995-2021By MUTWIRI MUTUOTA and GERALD IMRAYAssociated Press ELDORET, Kenya (AP) -  The brutal killing of Olympic runner Agnes Tirop last year shows signs of being a...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mauaji Buffalo New York! Mzungu Aneyechukia Watu weusi Amewaua wakiwa...

  (AP) Multiple people have been shot at a supermarket in Buffalo, New York. Police there said in a Saturday afternoon tweet that the alleged shooter was in custody. Details on the number of people...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mnaifahamu Tanzania Life Project ?

Tanzania Life Project ni NGO inayaosaidia wananchi wanaoishi kwenye vijiji vilivyo n ukosefu wa maji kupata maji.   Wanachimba visima ili kusaidia kupata maji na kuepuka kutembea misafa mirefu kutafuta...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nyani Wasaidia Wanasayansi katika Utafiti kugundua chanzo cha Binadamu...

                           Familia ya Nyani aina ya ChimpanzeeNyani wa Tanzania wanasaidia wanasayansi kugundua sababu ya binadamu kutembea kwa miguu miwili.  Pia tusisahau kuwa wanasayansi wanasema...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Papa Mstaafu Benedict wa XVI (16) Afariki Dunia

                                                     Hayati Papa Benedict XVI Papa Mstaafu Benedict XVI amefariki dunia leo asubuhi huko Vatican, Italia.  Ilitanganzwa mapema wiki hii kuwa afya ya Papa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msiba Boston - Bibi Sipora Minani

 Familia ya Mzee David Mvuyenkure, wa Chelsea, Massachusetts, USA inasikitika kutangaza kifo cha mpendwa wao..Bi Sipora Minani, kilichotokea jan, Ijumaa Tarehe 13, Januari nyumbani kwao.  Alikuwa ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzia - William Malecela aka. LeMutuz

 Hayati William Malecela aka Le Mutuz1961-2023Yaani, kweli hujui siku utaaga dunia hii. Nimeshutuka sana kusikia habari ya kifo cha kaka yangu wa ubatizo, William Malecela 'aka' LeMutuz.  Baba yake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mji wa Derna, Libya Yaangamizwa na Mafuriko! Watu zaidi ya 20,000 wahofia kufa!

Ni Mambo ambayo tumesoma kwenye biblia...mji mzima kuangamizwa!   Wiki iliyopita huko Libya mashariki ulipita Kimbunga Daniel.  Mvua ulinyesha mwingi sana hadi bwawa mbili zilipasuka na kusababisha mji...

View Article
Browsing all 571 articles
Browse latest View live