Quantcast
Channel: Swahili Time
Viewing all articles
Browse latest Browse all 571

Mwanamke Mweusi Maskini Ashinda Bahati Nasibu Powerball - Atapata Dola $188M

$
0
0
Marie Holmes (26) Mmoja wa Washindi watatu wa Powerball
Wadau, hatimaye mtu maskini mwenye shida kashinda bahati nasibu.  Mwanamke mweusi na maskini mwenye watoto wanne, Marie Holmes (26) ni mmoja wa washindi wa tatu wa Donge Nono la Powerball.  Zawadi kuu wiki hii ilikuwa karibu dola $600 milioni.  Wameshinda watu watatu na watagawana hivyo atapata dola $188 milioni.  huyo mama alikuwa anafanya kazi zilizokuwa zinamlipa kima cha chini. Alikuwa na watoto watatu. Anasema maisha yake ilikuwa ya dhiki. Naafurahi kuwa sasa yeye na watoto watakuwa na maisha mazuri na kuweza kusoma hadi Chuo Kikuu bila kuogopa gharama. Mungu ambariki.

Washindi wengine wanatoka mikoa ya Puerto Rico na Texas.

Kwa habari kamili BOFYA HAPA:

Viewing all articles
Browse latest Browse all 571

Trending Articles