Ninasikitika kutangaza kifo cha ndugu yangu, Bibi Jeredina Paulo Suka Haule, kilichotekea, Janauri 1, 2020, huko kijijini, Ilela, Manda, Tanzania. Alikuwa mama Mzazi wa Stephen Challe na Burton Challe.
Bibi Suka amekwisha lazwa katika nyumba yake ya milele. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema mbinguni. Amen.
Bibi Jeredina Paulo Suka Haule
October 28, 1928 to January 1, 2020
![]() |
Mimi na Bibi Suka (mwenye ndoo) kijijini Ilela mwaka 2009 |
![]() |
Bibi Suka na baadhi ya wajukuu wake mwaka 2014 |
![]() |
Misa ya Kumwombea Bibi Suka Kanisa Anglikana Ilela |