Mimi na Mcheza sinema, Carrie Coon wa Thamthiliya, The Leftovers, inayonyeshwa kwenye HBO. Carrie alikutana na washabiki wake hapa Boston juzi kwenye Mkutano wa Akina Mama, The Massachusetts Conference for Women.