$ 0 0 Wazazi wangu, Dr. Aleck na Rita Che-Mponda walisherekea miaka 52 ya Ndoa jana mjini Dar es Salaam. Walibarikiwa Kanisani St. Alban na Father Ramadhani na Father Sebo. Wazzai wangu walifunga ndoa Septemba 1, 1962.